Wonderful transformation all of us should remember

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Picha inajieleza, je ulianzia ipi kati ya hizo na unakumbuka mambo gani? Mimi nilianzia na "Mjumbe ana hoja pale" ya kwenye kigozi cha kiunoni,
Nakumbuka 2002 nikiwa mitaa ya Unga limited Arusha napanda nikitokea Sinon nikapigiwa simu majira sa saa 2 usiku, mwanga ukaniponza wahuni wakaja wakanigawana nikapoteza mawasiliano na mwenyeji wangu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapo daraja mbili,, nguzo mbili ilikuwa hatari sana kifo njenjee
 
Nimeaza na Zile za kanisani sijui wanaita radio call
 
Enzi hakuna bando ni kuweka vocha za dola na kuanza matumizi
 
Hapo mimi nimeanza na symbian qwerty,, nokia E71
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…