Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
habari zenu wakuu!!!!!!!
naombeni kidogo mnivumilie, mi mgeni jamani!
hebu tizameni hizi picha, then comment...!View attachment 110800 View attachment 110801 View attachment 110805 View attachment 110802
View attachment 110806 View attachment 110804
ladies and gentlemen.. these photos were taken from china! hii ni moja kati ya overloading za ajabu kabisa kutokea!
hii inaonesha moja kwa moja kuwa, pamoja na kwamba waefanya overloading, vifaa hivi vilivyobeba mizigo hii vina ubora wa hali ya juu na pia si 'used' kiasi cha kuchafua hali ya hewa! (hii ni kwa sababu tu inaonekana wanatumia barabara zenye viwango sana!)
sasa point yangu iko hapa!!
kwa jinsi hii basi, inaonekana kwamba china wana uwezo mkubwa wa kutengeneza vifaa vizuri na vyenye ubora wa kuendana na mazingira ya kiafrika (nadhani tunayatambua yalivyo!!!), je ni kwanini wanatuletea bidhaa ambazo ziko chini ya viwango na bado serikali iko kimya juu ya swala hili?
katika nchi za kwetu sasa! hali iko hiviiiii!!!!!!!
View attachment 110818 View attachment 110819 View attachment 110820
je, kwa jinsi hii unadhani katika sector ya transportation tutafikiana lini???
hodi sana jf!! wenu@emperor!