wonders of kikwete in usa

wonders of kikwete in usa

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
Kikwete in usa,he saw a building with no power,he asked,"i thought there is no mgao in the us".the guy replied"it is the tanzanian embassy
 
Kikwete in usa,he saw a building with no power,he asked,"i thought there is no mgao in the us".the guy replied"it is the tanzanian embassy

Kwa maana kwamba hata huko usa tunadaiwa bili ya umeme!! Duuuu, kama hii ni kweli rais wetu anawezaje kuvaa suti na kuwa na tabasamu zito anapokuwa na wenzie kwenye hafla mbalimbali!!!
 
Yeye na serikali yake imekaa kuwaundia watu mazengwe tu wiyhout thinking out of the box kuwasaidia watz masikini
 
mkuu.. urasa.. nashukuru... hizi ndizo chnagmoto tunazoitaji..... na pia umetoa ujumbe ulio wazi but indirect kwamba mkuu wetu ni bado sana kwenye kutafuta maslahi ya nchi bila kukurupuka... yaonyesha alikurupuka tu bila kutafakari kinachojiri pale..
shame on his behalf and not our country
 
Aithee mathawee umenifurahisha sana.
Rais anaulizwa kwa nini nchi yako maskini anashindwa kujibu!!! Nchi imejaa utajiri wa asili...imezungukwa na mito na maziwa kila kona lakini viongozi wanakwenda kuomba misaada ya chakula na net za mbu nje badala ya kwenda kuomba technolojia!!!
Maji ya kunywa yenyewe hamna watu wanakufa vipindu pindu!!
Khaaaaaaaaaa!!! nimechoka mwingine aendelee.
 
Napenda mkwere aione hii joke!! maana inaweza kumkumbusha juu ya mgao wa umeme...
 
imeshafika huku tena hii umeomba ruksa kwa mwenyewe kuitumia au ndio wewe 'mmmmh' athee
 
Hii joke iko kuanzia enzi za mkapa, it is so over but applicable.
 
Back
Top Bottom