Wonders Shall never end in Tanzania!!!


rekebisha usemi wako; kila kitu cha kipumbavu kinawezekana tanzania kwa kuwa nchi imekabidhiwa kwa majizi
 
Nnavyojua mm, msajiri wa ahakama ya rufani ni km katibu mkuu wizarani, sa cjui km katibu mkuu wizara ya ujenzi lazima awe mhandisi, kwa miska mingi sana, wasajiri wamekuwa wakitoka mahakamani, hawana koneksheni na makatibu wengine na kujikuta mambo yao mengi kukwama,
 

Ndio maana nimesema wonders shall never end in Tanzania.
 

Tundu Lisu alipowafumua watu wa sheria kwenye hizi mahakama zetu pale bungeni, yule mbwiga JAJI WEREMA aliyeamua kutumia kichwa chake kufugia nywele badala ya kufugia akili, akamjia juu eti ooh! amewadhalilisha.

HILI LI-SERIKALI LA CCM LIMESHA-EXPIRE, WATANZANIA TUPO WAPI KULIONDOA MADARAKANI JAMANIIII!!!!
 

Unajua kuna professions zingine sio kila mtu anaweza kwenda tu......???
Imagine, kama hujui sheria, unawezaje kuongoza mahakama??
Wonders shall never end!
 
Unajua kuna professions zingine sio kila mtu anaweza kwenda tu......???
Imagine, kama hujui sheria, unawezaje kuongoza mahakama??
Wonders shall never end!

atajifunzia uko huko kazini. ile drama ya mfalme juha jk anaicheza live..huyu jamaa hewa tupu
 
atajifunzia uko huko kazini. ile drama ya mfalme juha jk anaicheza live..huyu jamaa hewa tupu


Lakini, who should be blamed?
Ina maana hana advisors?
Rais sio lazima ajue kila kitu, kazi ya advisors ni kumshauri mambo mbali mbali.
Pesa za walipa kodi zinatumika kuwalipa watu ambao wanashindwa kumshauri Rais....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…