Wood parquet Tanzania

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
5,319
Reaction score
10,416
Wakuu hebu naombeni msaada wenu especially kwa wale wenye uzoefu na watalaam.

Tanzania (hapa Dar especially) kuna mafundi/kiwanda cha kutengeneza parquet nzuri za sakafuni? Nimejaribu kuzunguka lakini sijaona (I came across fundi mmoja akaniambia anaweza fanya lakini..ni yale yale maghumashi...I mean not so professional so to speak.

Kwa wale wasiojua..wood parquet ni mbao za chini. I mean baada ya kuweka tiles sakafuni wakati wa ujenzi unaweaka mbao.

I would really want to know kama kuna watu/makampuni wanatengeneza hii kitu na kama vipi niwatembelee nione ujuzi wao. Na niwaulize maswali mawili matatu.

NB: Kwa wanaojua (Architects) would you advise someone kuweka parquet kwenye nyumba yake hapa Dar es Salaam? I mean what are the advantages and disadvantages. Mindful of the Dar weather na mengineyo. Whats so good about parquet than tiles mfano? and costwise ziko vipi? And what about durability? Kwa wale ambao mmesali kanisani pale mlimani nadhani mnaona zile parquet ambavyo zimedumu despite constant usage ya wanafunzi.

Jamani tunaeleweshana na kuelimishana kwa hiyo mwenye ujuzi wake tafadhali karibu tunaweza kushare.

Asanteni.

Masanja
 
Kama mekosa mkuu hiyo kwako ndo fursa yenyewe ya biashara agiza nje uzifix nyumbani kwako watu wa kizipenda basi unajiingiza miguu yote kwenye biashara ya kuagiza kwa wateja wako...kama utahitaji kuagiza basi ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…