Duuuu!
Hicho mbona ni kifo live!
Mi nishaona live mlinzi aliyekuwa na tabia ya kuacha lindo usiku na kwenda kulala kwake, siku alikosea stepu tym za kurudi, alichomwa na chuma kama hiyo, utumbo wote nje...TULIMZIKA!..tani saba ya udongo bila huruma!..huh!