WordPress hosting training

tzhosts

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
403
Reaction score
510
Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress?

Kama Jibu ni ndiyo basi fursa hii inakuhusu. Utajifunza yafuatayo:
  1. Basic Introduction to Websites and Webhosting
  2. Introduction to the WordPress Platform
  3. Introduction to themes and Plugins
  4. WordPress Installation
  5. Website/Blog Configuration.
  6. Business Opportunities.
Kujisajili na mafunzo haya tumo email kwenda info@tzhosts.com.Gharama ya Mafunzo ni TZS 15000 tu kwa Module.Unaweza kulipia Module zote au module moja moja.Mafunzo yote yatafanyika online.Cheti cha ushiriki kitatolewa kwa watakao maliza modules zote.
 
Mkuu uje nikuuzie domain za .tz kwa 19,000 Reseller Price kwa mwaka 0674 110 110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…