Working Capital - Mkopo!

Working Capital - Mkopo!

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
wadau, this is good news kwa wote amabao ni wafanyabiashara na kwa aslimia kubwa biashara zao zipo dar es salaam, Je unahitaji kua boosted financially? ili kukidhi mahitaji yako ya kibiashara or kujitanua zaidi na kutanua wigo wako wa kazi? bais International commercial bank ndo sehem sahihi kwako as long as una kidhi vigezo na masharti maana vinzingatiwa na kusimamiwa. we offer mikopo mikubwa ya kuanzia 100mil na kuendelea as an Overdraft (working capital) kwa ajili ya wewe mfanyabiashara kuatanua wigo wako wa biashaara.

Vigezo:

1. Dhamana/Collateral- Ni mali isiyohamishika yenye thamani kubwa zaidi ya kile unachotaka kuomba.

2. Bank Statement- Iwe ni ya mwaka mmoja tuu, na tena iwe na mzunguko mzuri wa kuingia na kutoka kwa pesa.

Karibuni sana.
 
Mkuu marhaba ..... frankly speaking hiyo service unayoitangaza siyo fursa ni service ambayo kila bank wanayo na Mara nyingi wanufaika ni corporate entities .... unahitaji ku-design product ambayo itawanufaisha SME's ambao ndiyo wengi wanaohitaji financial boost

please do your homework carefully and when you decide to cater for SME's do not hesitate to encounter 'risks'
 
Last edited by a moderator:
Hio inamaanisha nianze kuweka mkwanja kwa bank yenu kwanza then after one year ndo mtanikopesha, get serious, all bank do that what new about u????
 
chief, nimeisema hiyo kwa makusudi kabisa with an aim to target corporate entities n not SME's.
 
sio lazima uanze eka pesa kwetu kwanza...we accept bank statements from other banks pia.
 
chief, nimeisema hiyo kwa makusudi kabisa with an aim to target corporate entities n not SME's.

for corporate entities bank overdraft is an emergency financial rescue plan .....

with this obvious and normal banking product you will have to wait wait wait and wait so long
 
wadau, this is good news kwa wote amabao ni wafanyabiashara na kwa aslimia kubwa biashara zao zipo dar es salaam, Je unahitaji kua boosted financially? ili kukidhi mahitaji yako ya kibiashara or kujitanua zaidi na kutanua wigo wako wa kazi? bais International commercial bank ndo sehem sahihi kwako as long as una kidhi vigezo na masharti maana vinzingatiwa na kusimamiwa. we offer mikopo mikubwa ya kuanzia 100mil na kuendelea as an Overdraft (working capital) kwa ajili ya wewe mfanyabiashara kuatanua wigo wako wa biashaara.

Vigezo:

1. Dhamana/Collateral- Ni mali isiyohamishika yenye thamani kubwa zaidi ya kile unachotaka kuomba.

2. Bank Statement- Iwe ni ya mwaka mmoja tuu, na tena iwe na mzunguko mzuri wa kuingia na kutoka kwa pesa.

Karibuni sana.

I don't see the difference kutoka benki nyingine
 
Back
Top Bottom