Hapo ndo hua pananichefua sana katika suala la kuomba kazi,hivi kweli mtu unaweka unataka employee mwenye 7-15 years xperience kama kazi za UN,UNDP,USAID nk, suala la elimu bado hapo na mengineyo ya computer,ku-work under pressure nk mi huwa naona wakati mwingine kama wanamlenga m2 wanayemjua mwenye hizo sifa coz hao wa2 kuwapata kazi, pia 2nashauriwa 2jiajiri but bado solution hiyo ni mgogoro coz wengi ha2na mitaji,in depth knowledge ya ujasiriamali ha2na further more ujasiri ni 5% sasa itakuwa vp? Graduate wengi mind set ze2 zinawaza kuajiriwa 2 n nothng else,poor us