The Wakanda Panth3r
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 260
- 204
hakuna nimetoka huko jana... wantupenda wote... walimu wa kiswahili wale wa hela wote watoka tanzania.. wasichana wasema the love our accent.. kila mahali.. kwanza mombasa u will feel at home.. watu safi sana huko.. hakuna chuki hata kidogoHello,
As a Tanzanian, what permits am I supposed to have if i ever wish to work in Kenya?
Will be deployed soon to Kenya for work. I need to have my permits and requirements in Order!!
πππππhakuna nimetoka huko jana... wantupenda wote... walimu wa kiswahili wale wa hela wote watoka tanzania.. wasichana wasema the love our accent.. kila mahali.. kwanza mombasa u will feel at home.. watu safi sana huko.. hakuna chuki hata kidogo
Huitaji chochote zaidi ya gunia moja la mchele.. Unyee atakukatia na plot ya wewe kujenga. Sema kwenye swala la chakula itabidi uweunaludi Namanga..Hello,
As a Tanzanian, what permits am I supposed to have if i ever wish to work in Kenya?
Will be deployed soon to Kenya for work. I need to have my permits and requirements in Order!!
safi sana, mmeona mbali kwa manufaa mapana ya Kenya, sisi huku tunazunguka jangwani, tunaongozwa na mwovu, mpenda sifa, katili na jeuri kama sio mwuuaji.Since you are an EAC citizen, if coming to work as a professional, you will be required to get a work permit which will be provided for FREE as in no payment. Just get the company bringing you here to apply for the permit on your behalf, but the company must first issue you with a contract which will be attached along with the work permit application.
You can read everything here Working in East Africa
πππππView attachment 934526
Thank youSince you are an EAC citizen, if coming to work as a professional, you will be required to get a work permit which will be provided for FREE as in no payment. Just get the company bringing you here to apply for the permit on your behalf, but the company must first issue you with a contract which will be attached along with the work permit application.
You can read everything here Working in East Africa