Workplace/uni/college flings!..............are they ever a good idea?

Hapo sasa ukianza kufokewa na bosi wako huku pembeni yupo mkeo au gf nooooouuumaaa.......!!!
 
Erotica twins wamemnyima uhuru kidogo, ngoja tuongee na Dr wake na sweetie wake HYGEIA huwenda akatokea this weekend hata kwa lisaa limoja!
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa ukianza kufokewa na bosi wako huku pembeni yupo mkeo au gf nooooouuumaaa.......!!!

Umeona eeh; au kwenye kikao cha kawaida unashindwa kupinga wazo la mumeo/mkeo hata kama unaona halifai!

Flings zipo nyingi tu na zinapunguzia heshima wengi na kugombanisha wadada ambao mara nyingi hutumia miili yao kupanda au kupata vitrip au vifavor vingine, lakini na wakaka hudhalilika pia hasa kwa upande wa madreva na mabosi wa kike.
 
zikitumika vizur zinaleta matunda coz most of couples wa cku hzi wamekutana either work place au walikua collegemates ni wachache utaskia wamekutana accidentaly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…