Workshop ya kutengeneza pikipiki

Workshop ya kutengeneza pikipiki

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
920
Habari za jumapili wapendwa naomba kujuzwa budget ndogo yakuweza kuanzisha workshop ya kurepair pikipiki.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Apo muhimu kufanya research pikipk gani ziko kwa wingi ...pata vjana watakaojilipa kwa kufanya repair ili wewe unufaike na kuuza spear
 
Apo muhimu kufanya research pikipk gani ziko kwa wingi ...pata vjana watakaojilipa kwa kufanya repair ili wewe unufaike na kuuza spear
Nitaka niwe narepair Mimi mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom