Bilioni 24, mbona chache sana mkuu? hizo zinatosha kulipa mishahara na kununua magari kituo kimoja tu kule USA cha watu wanaotafiti na watakaoendelea kutafiti tiba na chanzo cha UKIMWI.