Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Go hang yourselfUnited Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC.
Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika kuyagawanya mataifa kwenye makundi mbali mbali kulingana na uchumi.
View attachment 2079404Conferences | Least Developed Countries | United Nations
Past United Nations conferences on the least developed countries (LDCs)www.un.org
HahahaaaaaSi Magufuli aliondoka na MIC yake? Mama nae ajitahiti tupate nyingine.
marehemu hakuwa na Nia njema kabisa na Tanzania. alikua na papara papara nyingi akidhani anatengeneza, kumbe ndio anazidi kuharibu.Nahisi kwa huyu mama Samia hawa watatoka raundi hii, hajaanza kwa chuki kama mwenzake, anaendelea kuboresha mahusiano na kukaribsha kila mwenye nia njema.
Yule mzee alianza vibaya, na akatumia nguvu nyingi kuharibu.
Atayemsifia huyu mam na kusema anafanya mazuri kumliko Marehemu Magufuli ni fala wa kupindukia ama pia hajui siasa safi na uongozi.marehemu hakuwa na Nia njema kabisa na Tanzania. alikua na papara papara nyingi akidhani anatengeneza, kumbe ndio anazidi kuharibu.
tangu Mama achukue usukani, ameweka mambo sawa na hadi Wakenya wametinga kwenye hilo shamba la bibi ku-source raw materials na matokeo yake tunayoyaona ni haya πππ
Tanzania turns tables on Kenya as nine-month exports grow to $396m | The East African
www.theeastafrican.co.ke
Ooh nishasahau kumbe we ni mkenya mnamponda Magufuli kwasababu aliwabana sana kende na roho zenu za kizandiki.tameer Sasa ni kipi kinachokukondesha hapo. mbona kama una roho ya kichawi hivi? umezoea kuishi maisha ya kishetani kama mwendazake na hutaki kuona wakulima wenu wakichekelea benki
Kenya can make a lot of money from Tanzania. We need to keep this country close and Suluhu in power.marehemu hakuwa na Nia njema kabisa na Tanzania. alikua na papara papara nyingi akidhani anatengeneza, kumbe ndio anazidi kuharibu.
tangu Mama achukue usukani, ameweka mambo sawa na hadi Wakenya wametinga kwenye hilo shamba la bibi ku-source raw materials na matokeo yake tunayoyaona ni haya [emoji117][emoji117][emoji117]
Tanzania turns tables on Kenya as nine-month exports grow to $396m | The East African
www.theeastafrican.co.ke
United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC.
Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika kuyagawanya mataifa kwenye makundi mbali mbali kulingana na uchumi.
View attachment 2079404Conferences | Least Developed Countries | United Nations
Past United Nations conferences on the least developed countries (LDCs)www.un.org
Jidanganyeni.Kenya can make a lot of money from Tanzania. We need to keep this country close and Suluhu in power.
Kenya tutangeneza pesa nyingi sana kutoka Tanzania. Suluhu aendelee kubaki madarakani.Jidanganyeni.
Miaka ya mvaa ushungi kukaa madarakani haikawii kuisha.
Endelea kuota kijana.Kenya tutangeneza pesa nyingi sana kutoka Tanzania. Suluhu aendelee kubaki madarakani.
[emoji23][emoji23][emoji706] Suluhu hadi 2035Endelea kuota kijana.
Kwa hivo Tanzania ni LDC?The world bank ni bank ya MABEBERU. tunajua njama zao.