πππππUkifanya hiyo, piga pia hesabu ya Tanzania ambayo World bank imesema ni 49.1% ya watu wanaishi chini ya $1.90 kwa siku. Hiyo ni karibu 1/2 kwa fraction. Kwa hivyo 1/2 ya 60 million ni ngapi?
Fanya hesabu haraka haraka tuendelee.
As A Banana Republic Citizen I Can Confirm This
Naona ni madawa umesahau. Hiyo world bank website kwenye uzi si parody, hiyo twitter account umeleta ndiyo parody.πππππ
Nifanye hesabu kwenye parody sio? π π π π
mbona data zinajieleza kwamba ni 12 million only are below 2$ a day? Unataka msaada gani tena?Naona ni madawa umesahau. Hiyo world bank website kwenye uzi si parody, hiyo twitter account umeleta ndiyo parody.
Hay fanya hesabu haraka haraka ulete majibu hapa na kama imekushinda sema usaidiwe.
Show us anywhere in this your tweet imeandikwa kuwa only 12 milion Tanzanians are living below $2 a day. Nangoja.mbona data zinajieleza kwamba ni 12 million only are below 2$ a day? Unataka msaada gani tena?
Ninyi ni watu million 28 wanaogelea kwenye tope la ufukara π π π π
Hawana mbele hawana nyuma
View attachment 1581535
Ni kama social media inaku changanya hiyo account unaona kama iko verified? Mbona inasema tofauti na website ya World bank na haina alama ya kuonyesha iko verified.mbona data zinajieleza kwamba ni 12 million only are below 2$ a day? Unataka msaada gani tena?
Ninyi ni watu million 28 wanaogelea kwenye tope la ufukara π π π π
Hawana mbele hawana nyuma
View attachment 1581535
Tena hii covid-19 effects ndio imegaragaza kichizi kwenye umaskini uliotopeaShow us anywhere in this your tweet imeandikwa kuwa only 12 milion Tanzanians are living below $2 a day. Nangoja.
ni lini twitter yao Tanzania ilikua verified? Ipo hivyo hivyo siku zote na sio kila account ambayo haipo verified ni parody, naona unazidi kuchanganyikiwa π π π πNi kama social media inaku changanya hiyo account unaona kama iko verified? Mbona inasema tofauti na website ya World bank na haina alama ya kuonyesha iko verified.
Umeona hile alama iko kwa twitter ya nation media, inamaanisha iko verified. Wacha kuleta hizo propaganda munajitengenezea.
Hesabu umemaliza ama ni porojo tu unataka kupiga mpaka usiku?
Show us anywhere in this your tweet imeandikwa kuwa only 12 milion Tanzanians are living below $2 a day. Nangoja.
Wakileta recently data Hali inaweza kuwa mbaya zaidi maana Mimi sijawahi sikia serikali ikisema imepunguza umaskini kwa kutaja figures nachosikiaga na kusoma ni kutaja idadi ya structures walizojenga tuHizi data za Tanzania ni za mwaka 2017, kunya ni za 2015 na Uganda ni za 2016.
Hebu leteni recent data tuone.
Asante mkuuπ€£π€£π€£Hawa zero brain unawawezaπ€£π€£π€£mambo hadharani πππππView attachment 1581346View attachment 1581348
Jamaa wamebaaπ€£π€£π€£Teargass anavyozulula kwenye mitandao kutafuta habari mbaya za Tanzania nikama tumempiga mimba..π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Parody π π π π
World Bank haiko verified π€£π€£π€£Yani umepanic mpaka unaenda kuchukua parody account kwa twitter ambazo haziko verified kuleta hapa ili ujiokoe.