World Bank to finance Tanzania’s projects valued at Tsh2.6tr

Hio Beberu sio ya mnyama, Beberu inasimama kwa Imperialists, ambao ki ukwrli bado wapo, tumetoks kwenye imperialism to neo-imperialism, mapambano yanaendelea
 
Kuna watu wanaendelea kuongea lugha za miaka ya sitini, mabeberu hata hawajui maana yake nini. No wonder Trump alituita shit hole countries tukajifanya kuumia kweli Ila wao wanasikia na wananyamaza tu na bado wanatoa hela zao kutusaidia Hadi kujenga vyoo, Hadi kondomu🤷🤷
 
..mwendazake alikuwa akiwaita World Bank mabeberu.

..Na alidai hatuwahitaji, na miradi yote mikubwa tunaitekeleza kwa fedha zetu.

..taarifa hizi zimelenga kumdhalilisha mwendazake na kuharibu legacy yake.
 
Katika deni la taifa linalolipwa kila mwaka na serikali ya Muungano, Zanzibar haichangii chochete wakati mgao wa mkopo hupata
Haichangii vipi wakati kule Kuna tra wanafanya kazi na Kuna uhamiaji wanakusanya mapato ya wageni kwa mamilioni, Kuna not kule inaratibu shughuli zote za kifedha huko...
 
Duhh..
Mama kaanza kutuuza mapema kabisa...
 
Hiyo heading ulipaswa uandike kwa Capital letters...
 
Haichangii vipi wakati kule Kuna tra wanafanya kazi na Kuna uhamiaji wanakusanya mapato ya wageni kwa mamilioni, Kuna not kule inaratibu shughuli zote za kifedha huko...

..hivi mradi wa kimkakati wa serikali ya muungano znz ni upi?

..kama Znz ni sehemu ya Tz basi inastahili miradi mikubwa ya kimkakati itakayotekelezwa na serikali ya muungano.
 
kwahiyo kila mtanzania atadaiwa shs ngapi tuanze kujiandaa na marejesho, kwahiyo hizi fedha nazo zitanunua buses za mwendokasi za kufugia kambale.
 
Wakuu, tuelewe tofauti kati ya grants na loans...WB ni benki inatoa loan kwa goverments kupitia benki kuu za nchi husika in this case inakuwa loan na kuhudumia nchi husika kama mteja. ...ila inautaratibu wa kutoa grants pale nchi yoyote itakapowasilisha ombi na kukidhi vigezo walivyoweka.moja ya hivyo vigezo ni demokrasia hakizs binadam na utawala bora+ uhuru wa habari...
Kuna muda wakitangaza kusitisha grants zao...na tukadhupaza shingo...tukaamua kutekeleza kwa kodi zetu...
Wataalam watafsfanua.
Logically, hatuwezi kuwa na bajet inayosaport miradi na tukataka kupata unafuu kwenye tozo za kodi na at the samw time tusiombe msaada. (Kama ni hrant hongera kwetu na kwa viongozi wetu....kazi iendelee.
 
Haichangii vipi wakati kule Kuna tra wanafanya kazi na Kuna uhamiaji wanakusanya mapato ya wageni kwa mamilioni, Kuna not kule inaratibu shughuli zote za kifedha huko...
Chochote kile kinachokusanywa Zanzibar hubaki Zanzibar

(kodi inayokusanywa na TRA Zanzibar na maduhuli yanayokusanywa na Uhamiaji Zanzibar)

Na TRA Zanzibar inakusanya zaidi ya Bilioni 222
 
Usiwe wa masharti kandamizi sasa.
Kweli na,mambo ya corona yasiwemo humo!! Tusije kusikia eti mradi wa kupambana na corona! Mungu alishatuponya na corona tayari! Asiyeukubali ukweli huu ndiye atakayekufa kwa corona! As simple as that!
 
ndiyo maana akaunti za benki za watetezi wa ushoga na usagaji zimefunguliwa. from a daring independent and sovereign state to a begger country in just 1 month.

yajayo yanasikitisha.
Unatumia matako kufikiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe kwa maneno ulioyaandika unajiona binadamu?
Siyo najiona, bali ni binadamu halisi.

Kama ubaguzi qa mzungu dhidi ya mwafrika ulikuwa ni unyama, vivyo hivyo ubaguzi wa mweusi dhidi ya mwanadamu yeyote, hauwezi kuwa utakatifu.

Tumchukie na kumlaani shetani maana ndiye baba ya ubaguzi. Ukimwona mtu yeyote mbaguzi, ujue ndani yake kuna shetani anayeishi.
 
Sahihi kabisa. Na anayembagua mwenzake, lazima ndani yake kuna roho ya shetani.
 
Mbona hawasemi kama ni mkopo? Anyway, mikopo na misaada ya kifedha kutoka kwa wahisani ni nyingi lkn ukizunguka hamna cha maana. Miundombinu ya barabara ni mibovu, maji ni changamoto hadi mijini, mipango miji zero, elimu zero, n.k.
Tulikimbilia kudai uhuru kisa utu wetu haukuthaminiwa na sababu nyinginezo. Lakini mpaka leo miaka 59, hamna cha maana. Nashauri tuingie mikataba ya uendeshaji nchi na mataifa kama England, Germany, Norway, nk ili watusaidie kupanga miji yetu na kuboresha uchumi wa Watanzania.
 
Nikiona statements kama hivi kutoka World Bank👉"helping the poor and those living in a dangerous environment," huwa napata kichefuchefu.It's too hypocritical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…