Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Safi sana Walimu watapata fursa ya kuonokana na adha ya kuandika kwa chaki kwenye Mbao "The project will introduce digital technology to facilitate math and science teaching and improve learning and teacher efficiency. It aims to improve the quality of secondary school teaching and learning environments."
 
Mara nyingi tamaa na matashi ya mwili yamekua ni kichocheo cha binadamu kumuasi Muumba.

Zitto Kabwe na genge lake Fatma Karume,na Maria Sarungi na wengine wakiwa ndani ya nchi na nje ya nchi walilobu kuhakikisha mkopo huu hauji Tanzania.

Sio kuwa hawajui manufaa ya mkopo huu kwa watoto wa kitanzania bali lengo lao kubwa ni kuhakikisha serikali ya Raisi Magufuli inakwama kwa kila inachofanya kwa waTanzania.

Chuki hii na roho mbaya hii imekwama.Sasa wanageuka kuanza kubeza na kusema wametoa mchngo wao kwenye hili.
 
Update za leo big brother, USA wamepiga pini mkopo huo leo,wamesema wataupugis kura ya veto usitolewe kwa Tanzania Jiwe oyeeeee.
Huo ni uzushi na uongo usio na akili! They are part and parcel of the Council that voted and they were defeated in that VOTE. Kwa nini hawa ku VETO then!? Tumieni akili on some of the posts in here!
 
Kila mtu katika nafasi yake huwa anajiona mjanja sana ni wachache wanaochukulia nafasi za uteuzi ni mapito nahivyo kutenda haki na wema ni wajibu kwa anaowahudumia. Tatizo la wengi ni kujisahau sana hapa leo Nyamhanga ndio mda ya kujadili lakini nakwambia wapo wengi kina nyamhanga kwenye maofisi yetu wengine wanacomment hapa unaweza sema ni malaika kumbe ni wakina nyamhanga namba mbili.
Aina za nyamhanga wapo wengi ukianzia wanasiasa ndio useseme ni hao waliokuwa wanamsifia hayati kwa kila jambo hata la ubaguzi na kuhatarisha umoja wa kitaifa, ndio hao walipenda pande zoote za kisiasa zifuate itikadi yao na asiefuta itikadi yao basi sio mzarendo na mpinga maendeleo ya taifa. Wakina nyamhanga maofisini wapo waliokuwa wanadhani hayati atatawala milele hivyo madudu wafanyayo yatakuwa yanapakwa mafuta milele na milele na hata tulipowaambia jamani mambo hubadilika jidhalini na na tabia hii walisema bila woga 'mnajua nini nyie' leo wengine wanatamani wajifiche na wengine waaibika kila kukicha kama wakina kakulwa na nyamhanga.
Napenda kuwausia viongozi wenzangu kazi na cheo ni vitu vya kupita tusikopeshe akili zetu kwa matapeli kuzidai tutapata tabu sana na kutumia gharama kubwa sana wakati akili hizi ni za kwetu na tumepatiwa bure na mwenyezi Mungu.
 
Wakuu naombeni munieleweshe. Mimi nilivomaliza chuo nikaachana kabisa kulipa mkopo wangu. Yaani sijawahi hata wapa sumni yangu.
Swali langu:::: je, pesa ninayodaiwa baada ya hiyo 6% na hiyo sijui faini kuondolewa itakua sawa na pesa ile ya kipindi kileeeee nilipomaliza chuo bila kuongeza hata shilingi moja sio?????
Mnijibu please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…