REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Wakenya waibuka kidedea tena kwenye moja ya masuala hodari kwa kuiwakilisha East African Region
Almost 60% ya wakenya wanaishi jalalani ni moja ya nchi inayofanya vizuri kwenye kipengele hicho kiasi cha kuwapita mpaka wababe wa Dunia katika hiyo sector kama India, Brazil, Mexico, Thailand, Philippines imagine mpaka Nigeria wamempiga nock out.