Government gani wanaiongelea ikuwa sisi hatujafanya uchaguzi?
Concern yao wasubiri tufanye uchaguzi tupate rais wa Tanganyika, hatuhitaji kuanza kuingiliwa na taasisi hizi na kufanya mazungumzo na ni jambazi ya ccm na mapolisi wao.
Wasubiri tukiisha chagua rais waje walete cincern zao.