World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Brazil are always overrated leo wameonyeshwa total football......kwao wakacheze samba!
 
Arsene Wenger kuna kiungo anaitwa Sergio Busquets(biscuti) kiungo mkabaji huyo

tatizo ni wale watatu wote kuwajaza midfielder tuone nane atapelekwa pembeni,mebele messi na villa.nataka aende kuliko huone kama hawajachanganya habari kama madrid au fabregas atakuwa super sub wao.
 
muntariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ghanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa boatengggggggggggggggg gyannnnnnnnnnnnnnnnnn AFRICAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Brazil are always overrated leo wameonyeshwa total football......kwao wakacheze samba!

Babes leo inabidi tushereheke ushindi huu uliozizima dunia..Brazil ni good team sema tunasahau kuna timu nyingine zinaweza kuwa nzuri pia!!
 
muangalie huyu forlan... macho kama mjusi analamba gundi!!!
 
barca itauza wageni wote ili kukuza kipaji cha waspain,si ajabu ukaona hata messi watamchezea rafu akawa majeruhi miezi kadhaa halafu wanamuuza kama gaucho ilivyotokea,kuna huyu anaitwa bojan krkic nae na villa pale mbele,barca ina mpango kuwapa majina wahispaniola,mana ilikuwa ya wadachi kuwapa majina wageni sana kina maradona,romario,ronaldo lima,stochkov,gaucho na messi sasa,wakimchukua villa utaona hata messi hadhi itapungua.
 
Ah, pressure zinapanda tena daa, mwaka huu kama hajafa mtu mie sijui!.
 
nimeshangaa sana jinsi gilberto silva alivyo na kiwango kizuri halafu Mr. Bean akamuuza kwa shilingi elfu sita
 
Ghana 2 Uruguay 1. Kila la heri Ghana. Waafrika wote Ulimwenguni tunawaombea Mungu mshinde leo.
 
bendera ya hawa jamaa ina niacha hoi na kujiuliza maswali yasio na majibu, hiyo picha ya kichwa cha mtu sijui ina maanisha nini kwao huko, duh kweli kazi
 
...The 'Sheikh Haya Sisemi' in me predicts that it is going to be Ghana 2 Uruguay 1. :thumb: Wanna bet?
 


Itakuwa bomba sana wakienda kumuona Madiba huku wakiwa wameshatinga kwenye Semi finals. All the best Ghana.
 
...The 'Sheikh Haya Sisemi' in me predicts that it is going to be Ghana 2 Uruguay 1. :thumb: Wanna bet?

Babadesi naona una namba kama zangu, labda tumechungulia chungu kimoja results za mchezo huu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…