World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wadachi wakishinda nafanya pati ila no beer ni Cheese tu kwenda mbele!..Karibuni Chumbageni,lol!!
 
jiachie tu wa usiogope kushangilia nusu fainali jipe uhuru zaidi mambo ya kushangilia kwa minyato noma lol.hawata kuangusha wa dutch.

Sawa Prof. acha nifurahie 100% siyo nusu nusu..Naamini kati ya Robben,V.Persie, Sneijder or Kuyt wanaweza ongea kitu kingine..
 
wakuu naona jabulani limeanza kutoka na show yake lenyewe

shakt!!
 
ila tuache utani Forlan is really dangerous

duh
 
kipa kaharibu hapo........

Lakini alijitahidi sana maana aliugusa mpira kwa ncha za vidole, tatizo lilikuwa ni position aliyokuwa amesimama, angekuwa nyuma hatua moja, ule mpira angeutoa nje. Pamoja na hayo, mashuti ya Forlan ya mbali huwezi kuyatabiri atapiga kwa style gani.
 
Tatizo watu wengi waliidharau Uruguay sasa wanaona mambo inakuwa si mambo taratiiibu wanaanza kukaa kimya.
 
ngoja michuano iishe tumsajili forlan bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…