Tatizo watu wengi waliidharau Uruguay sasa wanaona mambo inakuwa si mambo taratiiibu wanaanza kukaa kimya.
hilo JABULANI Forlan analiwezea kishenzii.................
Mkuu, ni kwamba tu forlan ni mzuri kuliko kile kibajaji cha two strokes rooney!!!naona hata foul zake wenzake wanapaisha yeye foul zake nzuri sana.atakuwa amefanya mazoezi ya nguvu sana na huu mpira.
he he he he he justice done.........
Mkuu, ni kwamba tu forlan ni mzuri kuliko kile kibajaji cha two strokes rooney!!!
GOOOOOOOOOLLL
Mkuu, ni kwamba tu forlan ni mzuri kuliko kile kibajaji cha two strokes rooney!!!
GOOOOOOOOOLLL
duuuuh robben simchezo.
wanasemakwamba Forlan ana goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal