World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Germany mpira wao huwa uko so live and nice to watch! Alafu aka kajamaa kametoka macho kama mjus lazima kawafunge leo kameshawakosa mara nyingi sana iki kipindi cha kwanza lol..
 
Germany mpira wao huwa uko so live and nice to watch! Alafu aka kajamaa kametoka macho kama mjus lazima kawafunge leo kameshawakosa mara nyingi sana iki kipindi cha kwanza lol..

Kwi kwi kwi, huyu Mturuki ni hatari!
 
But Australia pia walichangamka sana wakati wanaanza! I thought nao wataonyesha cheche but mmh ni kama wamezidiwa!
 
refa anani-disappoint sasa baada ya kumsifia muda mfupi tu uliopita...............
 
wajukuu wa Hitler wananipa raha sana....hawa wafungwa wa Kiingereza leo hakuna rangi wataacha kuona
 
Preta, itabidi uvae miwani kuwaita hawa Wajukuu wa Mtemi.

Kwanza angelifufuka leo na kugundua kuwa nchi yake ina wachezaji Wageni kibao na kibaya zaidi hao waliofunga magoli, wote ni wa kuja na wamezaliwa nje ya German. Pia huko mbele kuna Mturuki na kwenye benchi nimeona hadi Mpingo. Mtemi angelipata ugonjwa wa moyo na kufa tena. Amen.

Refa jinga sana hili. Linawaogopa German. Limebana Penati ya wazi kabsa na kugawa kadi utafikiri limekuwa father christmas.
 
Podoloski kila dakika yupo pekee yake just out of 18, now Muller anatikisa wavu!
 
oooh,nilikua natafuta mjeremani mweusi,nimemwona!!
 
Daah! Germany wana pas hatari wakifika karibu na goli nilijua lazima litokee lingine sasaiv bado nashangaashangaa kwa nn zile nyingine hazijawa magoli wfuuu.. Haya ndo magoli yana raha kushangilia sio free penalts! We need to up our games afrikans lol...
 
bado goli 1 wahitimishe,hawamweusi kafunga namba 19
 
Ukicheza na vibonde, shurti utoe mfano kibano mpaka kila mtu akuogope. I hope Ghana watamshindilia Australia kama wanaria vile!
 
Germany nao MAMLUKI kibao...............waturuki,wapolish,wabrazil na......
 
Hawa wajerumani wana wabrazili kwenye team yao (Claudemir Jeronimo Barrett) Cacau, Boateng kutoka Ghana, waturuki (Mesut Özil) na Wapoland Podoski na Klose. wanakutana na wabovu Australia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…