Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Unajua mechi nimeikutia katikati. Italy wanaonekanaje?
nipo....kutangulia sio kufika....tusubiri
nipo....kutangulia sio kufika....tusubiri
Lol...........Italy 1 Paraguay 1.............Preta meno yote nje.......hahaaaaaaaaaaaa
Lkn Paraguay sio wa kubeza, wamo!nilijua tu...half time walikwenda kunywa capuccino
Lkn Paraguay sio wa kubeza, wamo!
Ndo linadondoka hivyooooleo ndio nitaamini kama mende anaweza kuangusha kabati au la....
hapo ndiyo pale shoka linapokuwa wembeleo ndio nitaamini kama mende anaweza kuangusha kabati au la....
wakatoliki wamejitahidi sana, hata hivyo kuwazuia vijana wa Paraguay
Watu mna misemo humu balaa!.leo ndio nitaamini kama mende anaweza kuangusha kabati au la....