World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Moja kati ya Game za kichovu ni hii..hawa slovakia ni mara kumi ya STARS yetu ya Maximo..wanafika kwa goli wanashindwa kumalizia kwa hawa vibonde wetu New Zeland... Hawa wote wanatoka kwenye hili kundi sitegemei miujiza ya wao kusonga mbele asilani...Wachovuuuuuuuuuuuu..ILa nawasifu wa sauzi Vuvuzela zinarindima mwanzo mwisho
 
New Zealand wakomboa katika dakika za majeruhi...92 minutes...Bao safi sana!!!!!
 
Yaani niliacha shuguli zangu kuwahi mechi - loh! Kumbe ni upuuuzi mtupu - Anyways both teams nimeziweka kwenye "ignore list"
 
Haya hii inafanya kundi zima liwe na point moja na with one goal each.Nategemea vichapo kwa hizi timu za leo kwenye mechi zitakazofwata za kundi hili!
PARAGUAY
ITALT
wanasonga kwa 2nd round!
 
Wakuu,




Karibuni kwa hii ngoma ambayo najua wengi wanaisubiri. Hata hivyo baada ya kuona timu za Afrika zikidoda, I dont wanna put my hopes up there.

May the best team win.

Meanwhile:

Didier Drogba will start on bench


Didier Drogba will be starting on the bench for the Ivory Coast's first Group G match against Portugal.
The striker was granted permission by football's world governing body Fifa to wear a cast to protect his fractured arm.

The Chelsea striker's involvement in South Africa had been in doubt after suffering the injury in a friendly against Japan on 4 June.

Fifa said that Tuesday's referee Jorge Larrionda had permitted the cast.

BBC Sport - Football - World Cup 2010: Didier Drogba will start on bench
 
Ivory Coast

  • 01 Boubacar Copa
  • 04 Toure (Captain)
  • 17 Tiene
  • 20 Demel
  • 21 Eboue
  • 05 Zokora
  • 09 Tiote
  • 19 Toure Yaya
  • 08 Kalou
  • 10 Gervinho
  • 15 Dindane
Substitutes:

  • 16 Zogbo,
  • 23 Daniel Yeboah,
  • 02 Benjamin,
  • 06 Gohouri,
  • 22 Bamba,
  • 12 Gosso,
  • 13 Romaric,
  • 14 Kone,
  • 07 Doumbia,
  • 11 Drogba,
  • 18 Keita
 
Hii ndio tulikuwa tunaisubilia mkuu Ab-Titchaz,,,,,,kwanza kabisa tushushie mipicha ya team zote mbili......Nakuamini. I wish I could lakini kila nikielekezwa ku post picha hapa siwezi,,,,ukilaza umezidi....so, waiting the photos (first eleven za timu)
 


Portugal

  • 01 Eduardo
  • 02 Bruno Alves
  • 03 Ferreira
  • 06 Carvalho
  • 23 Fabio Coentrao
  • 08 Mendes
  • 10 Danny
  • 16 Raul Meireles
  • 20 Deco
  • 07 Ronaldo (Captain)
  • 09 Liedson
Substitutes:

  • 12 Beto,
  • 22 Fernandes,
  • 04 Rolando,
  • 13 Miguel,
  • 15 Pepe,
  • 21 Ricardo Costa,
  • 05 Duda,
  • 14 Veloso,
  • 17 Ruben Amorim,
  • 19 Tiago,
  • 11 Simao,
  • 18 Hugo Almeida
 
Bila ya kitetemeshi mawimbi ya bahari kuu yanasema Ivory Coast inalala kwa bao moja
ikiwa haitanyesha mvua au haukuvuma upepo.
 
I.COAST tunaitegemea kufanya vizuri WC hii......lakini wasiwasi wangu wanaweza kulewa sifa kama NIGERIA 94 i think.......
 
mimi imani imepungua sana sasa!!
sijui kwanini,naenda kumwagilia bustani tu basi
ntarudi hapa kusoma comments basi!

best of luck coted'ivoire (may be)
 

Ngoja nikufarishishe na hii...


 

Attachments

  • 32223_399524449106_716609106_4256383_7424831_n.jpg
    16 KB · Views: 59
Kila la heri Ivory Coast....mtupe raha leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…