World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mkuu Bigirita,

Ivory Coast wanakula nao sahani moja so far.
Kimbia humo ofisini...tafuta kisingizio jamani..unakosa mtanage wa nguvu.
Kina Kalou wana-command respect huko mbele si utani.

Aisee wanatia moyo sana hawa na wakiweza kupata goli au zaidi kabla ya HT watapunguza sana pressure ya Drogba to participate in today's game
 
Aisee wanatia moyo sana hawa na wakiweza kupata goli au zaidi kabla ya HT watapunguza sana pressure ya Drogba to participate in today's game

Sio siri, their game is at a high level na wana-confidence ya kutosha.
Hawajakuja kuwaona ma-star wa Uropa...they believe in themselves so to speak.
 
Huu uwanja wa leo vipi naona unatimbika timbika tu
 
Drogba anatamani sana apige hii ngoma jamani.Mnamuona anavyofurukuta hapo benchi?
 
Halftime hio...bila bila.

Portugal wanaonekana kama wanchezea draw eti.
 
HT 0-0.......very tight game..........not very entertainig............
 
ALIPATA KUNENA HAYA...
''ni heri nikae na kuangalia FUTUHI kuliko kuangalia mechi ya Brazil isiyo na Saint Gaucho...

Maneno hayo yalitolewa na shabiki nguli wa mchezo wa Soka anayeaminika kuwa na kipawa cha kuudadavua mchezo huu Kamanda Gang Chomba alipokuwa anajibu maswali ya wadau wa mchezo huo pale walipotaka kujua mtazamo wake na maoni kwa Brazil ktk mashindano haya.
 
hawa jamaa wanaleta utani,yasiye wakuta ya Cameroon
 
Ronaldo ni mpuuzi sana! I do not like him.....vijana wa Ivory coast Imani nao ninayo!
 
HT 0-0.......very tight game..........not very entertainig............
Aloo mkuu je tunatazama gemu moja au vp tena?..Hii gemu poa sana amongst all African teams I have watched ...isipokua Ghana kwa sababu ya ushindi.Also consider the opposition we are facing...usikate tamaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…