World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hawa waswisi wanacheza golini kwao hawaonyeshi dalili zozote za kutafuta ushindi, ila wanajitahidi kuzuia. Senderos katolewa nadhani kutakuwa na pengo ktk ulinz4 kwa waswis
 
hapa dawa wamuingize EL NINO tu....................
 
Hizi nafasi wanazokosa Spain watazijutia hapo baadae, half time!
 
I do know how long hawa waswiss watadefend? I love counter attack...wasiige mchezo wa Spain itakuwa aibu jamaa wana njaa.......
 
Mpira magoli sio pasi nyingi then hamna magoli,ngoja wakutane na USA
 
Spain wameingia na kasi kubwa yakutafuta ushindi ila watajutia nafasi za first half..
 
Huyu mshambuliaji black wa Swiss, Nkufo, sijaona alichofanya fist half.
 
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi labda tutashuhudia magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…