World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Kile kipigo ilikuwa ni kama Msumari wa moto kidondani, dooohh, poor Bafana Bafana!
 
South bado bana, jana hawakuwa na strong attacking force kabisa, wameishia kupiga pasi nyingi lakini kufikia 18 mwa uruguay hawakuweza.Uruguay was best side kuliko south, wasikate tamaa kabisa bado france.:A S crown-1:
 
Kaka mpira unadunda, kufunga na kufungwa yote ni matokeo, ila inauma kwa kuwa tumepigwa sisi, hata hivyo tuna nafasi ya kuwatwangwa Ufaransa na kuendelea mbele, wazee wa Bagamoyo na Swangwa fanyeni mambo basi ili Vuvuzela ziendelee kupiga swaga kama kawa?!
 
Inauma sana ujue da! halafu ndio waandaaji ni sawa na mtoto wa mwenye shule anapata zero darasani
 
Kuwa Timu ya Kwanza Muandaaji wa Kombe la Dunia kuishia Round ya Kwanza Labda ndicho kitu watakovuna RSA
 
poor us,poor SA
nilishindwa endelea angalia mpira,aisee
basi tena SA ndo bye bye next match maana kichapo kipo tu
sijui nani atatutoa this WC???

spain nilijua tu watatolewa nishai,waache kulemba km liverpool
hahhaaa
 
We acha inauma bana kwa sauzi na hayo matokeo. Lakini mimi niliona ile hari waliocheza mwazo na Mexico haikuwepo jana.... huo ni mtazamo wangu wakuu !!!!
 
Leo Argentina wanakutana na timu inayocheza mpira wa Kasi kabisa ya South Korea na Tayari kocha wa Argentina Diego Armando Maradona amembwatukia Pele na Platin thidi ya Comment waliozitoa dhidi yao

Maradona madness

The Power of Diego

June 17, 2010


By Andrew Warshaw, South Africa

The power of Diego. There may be empty seats around most World Cup venues but if you want to know the one oversubscribed must-see daily event, look no further than one of Diego Maradona's press conferences.



Diego Maradona conjured up some gems to please the patient reporters


The pushing, shoving, shouting and jostling that took place when Maradona held court for the final time before Argentina's second game of the tournament was a rare insight into the kind of interest generated by the bearded wonder.Reporters and stewards almost came to blows as all 200 seats for Diego were taken up an hour beforehand. Even though it was supposed to be open to all accredited journalists, scores of scribes were turned away at the door, with Argentinians in particular crying foul at being excluded. And this, not at some small makeshift arena, but at Pretoria's Loftus Versfeld stadium.

Inside Maradona was, as usual, controversy personified, a journalist's dream. Take this gem, for instance, about South Korea's plans to try to stop Lionel Messi from playing: "If people don't agree with playing football they should go home."

And this retort to Pele after the Brazilian legend suggested Maradona only took the national job because he was out of pocket: "He should go back to the museum and stay there."

And what about this latest attack on Uefa president Michel Platini: "He's French and we all know how French people are. If they say 'hi' and 'goodbye' that's something."

Although everyone loves Messi, to suggest, as Maradona did, that no other player can even come close to his heir apparent - and he reeled out a series of names - was some public statement to make as well.

Maradona, you see, simply doesn't do clichés and platitudes. The Koreans, he says, will have to be watched carefully. "They are quick as lightning and strong at set pieces. When we played against Nigeria it was like hitting a wall. This time we are the ones who will do the same to the Koreans."



Lionel Messi is Maradona's undisputed heir in the coach's eyes


Naturally, much of the talk was about the mercurial Messi who, at last, put on a performance at national level against the Nigerians to match his regular displays for Barcelona. "He needed a game like this to show his leadership and charisma. He has not been able to do it very often with us. Once Messi got going on Saturday, the match died."

Just to make sure he cannot be accused of favouritism, Maradona didn't only single out Messi for praise. Carlos Tevez, he said, was essential to the team. "It's a privilege to have a player like this. He can play in any position, even fullback, goalie." Since their opening against Nigeria, says Maradona, all nerves have been shed for the next hurdle. "The players are in the zone. Everyone has a lot of confidence and we'll win this next game."

But which team will he put out against the Koreans? "Don't rule anything out," was Maradona's typical reply. "In training the reserve players have have been at the same level as the first eleven. Anything is possible."


Source: FIFA World Cup 2010 - Football / Soccer - ESPN Soccernet


Utabiri wangu: Messi 3- South Korea 1


Game inapigwa saa 8.30 Mchana kwa saa za Afrika Mashariki katika dimba la Soccer City
 
Watu mlikazana ooh Spain ooh spain.......nikawaambia hii ndo soka, sasa naona mmeloa!!

Samba boyz will never disappoint me....and .....will always love Brasil when it comes to football!!

Subirini tutakavyo ivuruga vuruga ivory coast on sunday.............najua Invisible na wadau wengine mtasema mimi si mzalendo, lakini soka ni entertainment.....siwezi kupenda kitu kibovu eti tu kwa sababu ni cha nyumbani......Sorry comrades!!!

Wazalendo jumapili lazima muimbe....'...wivu sina lakini roho inauma...'
 
Ni mechi ngumu zaidi ya ile ya Brazil na Korea DPR, Hawa wakorea wana kasi mbaya na discipline ya kukaba, so argentina wasifikiri itakuwa mechi rahisi kwao, spain yaliwatokea puani.:teeth:
 
Ila Jamani El Diego ni Kivutio pamoja na Uteja wake
 
Naona Milito anapasha hapa nadhani Higuan amechemsha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…