World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Gonzalo higuain anaipatia argie goli la pili hapa
 
hebu msiogope izi mutu za argent!!
tunataka maajabu hapa leo
 
Messi inabidi akitoka hapa Akaungame Dhambi zake maana anawapiga Chenga sana hawa Korea
 
eeh!naona argentina hii sio ile ambayo watu waliidhania
 
huenda hii gemu ikawa na magoli mingi sana eeh!?
 
Ni Mapumziko sasa na kwa Argentina wameshingwa kuzuia South Korea wasipate Goli, Kipindi cha Pili kitakuwa kizuri sana maana Korea watakuwa wamepata Nguvu kwamba inawezekana kwa hiyo watapanda mbele kushambulia kitu kinachoweza kutoa nafasi kwa akina TEVEZ, MESSI na Higuain kuleta madhara langoni mwao, kwa hali hii naona SK watategemea zaidi Counter Attack

Maradona atamuingiza Mapema Diego Millito na Kun Aguere kuchukua nafasi za Higuain na Di Maria ili kuongeza zaidi kasi ya Ushambuliaji
 
twende kazi sasa!!
duh izi koreans hizi,awa waamerika kusini watazikumbuka
brazil na argie

rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…