World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tangu dunia imeumbwa brazil hajawahi kufungwa goal hizi world cup tena nusu fainali!!
 
adolay njoo tu wangu maisha yenyewe mafupi usilie sana mi now kiroho safi nimeshajikubali,kesho bado ipo utacheka.
 
Last edited by a moderator:
Ukishafungwa magoli mengi kama haya kipindi cha pili huwa kinakuwa hakina muda unaotosha kurudisha hata nusu ya magoli, na kinaisha upesi kuliko kipindi cha kwanza. Nilisema Shula atapata goli lake yametimia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…