World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nadhani hapa nipo kwenye zile njozi za utoto za kudhani nakojoa chooni kumbe nashusha mzigo kitandani......ngoja nipruvu kama nipo chooni kweli kwanza........,.
 
wajerumani waongeze mawili tarehe 9 iwe kumbukumbu ya magoli 9 waliofungwa brazill
 
Masikini Brazil yani sasa hivi kuna nafasi kubwa ya 2pac Kuwa hai na kurudi kwenye jamii Leo aonekane kuliko Brazil kupata hata 1 nini kurudi.
 
Mi naona hii nchi iwe kama Syria tu haiwezekani watumie hela zote zile, muda afu ile kao
 
Majamaa yanafungua vzuri kwel ndani ya box kwa leo wajeru mnastahki pongezi!
 
Jamani Hebu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) watupe uhakika kwamba hii mechi tunayocheki ndo yenyewe. Unaweza ukakuta Mchina hii.
 
Kila timu nayoshangilia inafungwa WorldCup hii bora kesho niwe Argentina ili Holland ipite.
 
kumbe kamanda wa ulinzi Brasil ni Silva, leo wamebaki ma-copra wanakula kwata.
 
"We have concentrated on how poor Brazil have been, a complete shambles, but Germany have been in control. It isn't men against boys, it's men against infants."
 
Ah basi bw inatosha
Its more than humiliation to these kids
 
Ndo maana TFF ya Brasil iliwandikia barua FIFA wasamehe adhabu ya Silva,sasa naelewa kwa nini waliandika ile barua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…