World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

km ingekuwa kule kwetu mchangani beki unaruka mbili juu ya kifua cha mtu na mpira unaisha hapo hapo
 
Nawambieni Wajerumani sio watu wazuri kabisa wtu mnabisha ona hichi cha leo sasa ni aibu hata kuhairiki kwani unakuwa sehemu ya historia. #TeamBrazil tujipange 2018 #Russia ila mie sitashabikia #Brazil nitakuwa upande wa mshindi
 
Argentina na Uholanzi tumbo joto'

Kila mmoja anaogopa kukutana na hawa Ma-Audi
 
nasubiri nisome atakchoandika eddo kumwembe juu ya hii mechi....jamani, 7?
 
No other country will break this record for a decade or more than a decade
 
Mkiona kimya tusiulizane nimeshalala comment hii imeji post yenyewe
 
Hawa wajerumani kama hawajaja na majasusi wao kuwalinda leo cjui kama watacheza fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…