World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani hata QPR hawezi fungwa goli hizi hata awe na watu 7 uwanjani
 
Hatupunguzi ng'oo dozi lazima igawiwe, hakuna muchezo bana

leo hutaki mchezo kabisa.mwanzoni niliongea kuwa brazil angeshinda kirahisi endapo mechi ingechezwa kesho tarehe 9 kuliko leo.
 
Leo tumeona mechi ya kihistoria kabisa! Itazungumzwa kwa miaka 50 ijayo! Mungu katupa bahati sana
 
Kuna taarifa kua wachina wame huck tv stations zote hii mechi ni play station inachezwa mechi halisi itatujia karibuni tuendelea kua nasubira.
 
Mie nataka mashabiki waingie uwanjani wawapige hawa wachezaji wakome
 
Mfano hapa wajerumani wakaachia japo magoli 3 si iatakuwa fair game
 
Nawataarifu tu .akiingia Muajentina kombe linaenda Germany ila akiingia Mholland basi Mjeru amelala !:A S-devil4: Nilisema huenda Mbrazili akapata mawili !
 
Wamechafua ubao...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…