mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
hukuangalia match ya Saudia Arabia vs German ,world cup ya 2002 iliyofanyika Japan na Souh korea?Tokea nianze kuangalia kombe la dunia mwaka 1998,sijawahi ona timu inafungwa mabao 7
wc 2002
Saudia 0-8 Germ
Lakini hapo haikuwa maajabu kwa Saudi akupigwa 8-0 ila leo imekuwa ajabu tena ajabu sana!