Achana na habari za Mkoloni, naona leo upo team ya ushindi Argentina, halahala tu usije na gundu kama la Katavi
#TeamArgentina
Washabiki wa team brazil leo wote siwaoni...
Hilo tu usijali,na wewe ukinifunga nikupe adhabu gani?
Hahaha BAK leo mpira hautaisha dakika za mwanzo ila mwisho wa siku wadachi wanenda kukutana na ndugu zao ndani ya ardhi ya bra7Acha hizo weye!!! Tupo banaaa kama kawa...leo wengi wetu tuko #TeamArgentina...Tunausubiri huu mchapo kwa hamu tukitumai hautakwisha baada ya dakika 26 tu.
Hilo tu usijali,na wewe ukinifunga nikupe adhabu gani?
Hahahahaha!! Hujui yule ni mdachi original,shauri yako we ombea tufungwe utajuta kunibembeleza
Ya kuruka kichura kichura huku akiwa amebeba sufuria ya maji ya moto kichwani.
Hahaha BAK leo mpira hautaisha dakika za mwanzo ila mwisho wa siku wadachi wanenda kukutana na ndugu zao ndani ya ardhi ya bra7