World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Watu wamechoka ndio babu anaanza usumbufu,kupiga matobo watu
 
WC yenye kila aina ya burudani.....don't look,don't look...am outta here.....heee.... Moyes????
 
Hahahahahaha lol!!!! unaweza ukayatoboa πŸ™‚πŸ™‚ kuminya kende kwa goli saba dah!!!!!


Huo ushauri katoa yeye hapo nyuma, anasema sisi wanaume wa #TeamArgentina tuminye makende ili tushinde. Sasa am just curious kama huu ushauri wake ulishawahi kumsaidia!!!!!??
 
Reactions: BAK
Hizi timu kweli zina ubavu wa kumkabili Ujerumani?

Germany sio wazuri kihivyo mkuu jana tu ZARI la MENTALI!!

Kaone games zao na Ghana;USA;Algeria na France madudu matupu walicheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…