World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu Hart wenu atawaliza kama Casillas jana, inaelekea damu hazifiki viganjani kama inavyotakiwa
 
Ila England wasifate Mchezo Wa Italy wao wacheze watafungwa km watafanya hivyo! Maana naona wanawaruhusu Italy kuchezea mpira!

ndio maana nimesema atakaefanikiwa lengo lake i.e italy ku-slow down au england ku-speed up anashinda.
 
Mpaka sasa england wanamiliki mpira kwa asilimia kubwa.
 
Pamoja na umri unaelekea magharibi Pirlo bado anakamatia kiungo na mapande vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…