Anauza sura tu hana lolote
Mbaya bhana! Kibanda kisaungua huku! Hahahahahahahaaaa!
Karibu Argentina unyanyue makwapa kesho!
Hao mapope hata siwafahamu! Argentina hapa!
last man akifanya faulo hata nje ya box ni red card
Mimi ni forever #teamBrasil no matter what.
Na nina imani 2018 na 2022 tutashinda kombe la dunia (at least moja)
Na kocha awe mwingine kabisa, yatosha kazi aliyofanya Scolari.
mmmh speechless
Mkuu kama ni nje ya box penati imetokea wapi, mimi ninavyoelewa ukimchezea rafu mchezaji wa mwisho (aneenda kufunga) ni red card.!
Huu Ugonjwa wa Moyo tuu
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mie ni #TeamAfrica kwanza zikishatolewa timu za kwetu ndio narudi kambini #TeamBrazil.
Pen imetoka wapi?