Dante,Marcelo,Fernandinho,Hulk,Fred,Benard wote benchi leo
Dante,Marcelo,Fernandinho,Hulk,Fred,Benard wote benchi leo
Kukaa kwao benchi sijaona relief yyt ile zaidi ya hasara!Brazil team yote ni mbovu sio ku single out mchezaji mmoja!Vunja team hii ita Oscar,Silva,Ramirez,Willian na Neymar tu wengine wote fukuza
Pen imetoka wapi?
kwakweli......
ila sintoumia sana kama 7 za siku ile.
nimeona goal.com kuwa wanamtaka mourinho
Uholanzi wasipofikisha goal 8 ntawadharau sana.
Brazil siku hizi amekuwa maharage ya mbeya
Sijui kwa nini kamuweka Marcelo bench huyu kocha
kwa kuwapa penati refa amechemka but kwa upande mwingine amewasaidia brazil.ilipaswa iwe freekick na red card so i hope unajua brazil hii ikicheza pungufu kwa dakika 88 nini kingetokea
Mhhhhhhh!!!! Bado sijaona,hawafai
2-0. Hah haaaa. Brazil is caput.