Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kuna dalili ya bao 5 hapa leo
Na fukuzia mbali Scolari na timu nzima ya ufundi.
Hahahahahahaaaa! Mkuu leo wanakula 10 hao!
mourinho ana bahati sana kama neymar ndo maana wanamuitaj
whether its a pen or not,last man ni red card,nje au ndani ya boksi.
Angekuwa mkoloni angeshamlisha mtu 5
Bahati ya maneno ya kutamba,kwa kujisifia tu anaweza
kwanini wanakosa ma goal hivi
Hawa Brazil wamefunga swaumu au?
kwanini wanakosa ma goal hivi
mimi naona kati yao wote tu wana nafasi ya kuchukua kombe,atakaeshinda ndo huyo huyo
hahaha si unaona yule mtoto wamemweka benchini leo, wanatapatapa hawa jamaa