Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
huyu coach nilijua baada ya 7 -1 angeondoka bado akawepo.
Leo sidhani kama kutakuwa na saba ingawa dalili za kuchezea kichapo zipo!
Wadachi wanaweza wakaongeza mengine mawili ikawa 4-0.
Hiyo haitakuwa mbaya sana. Kwanza tutakuwa tumejitahidi sana tukipigwa hizo nne bila.
Usiku mwema wadau. mi nalala
Glad you admit this...it is exactly the point I was trying make. Even the Brazilians themselves have come to terms with the fact that they are not that invincible! Hii inawapunguzia kidogo ile ari ya ushindi na itawasumbua sana katika kipindi kijacho. Watahitaji mapinduzi makubwa katika kujipanga ili kuweza kurudisha imani waliyoijenga kwa muda mrefu kwamba wanalijua soka. Fikiria hapa wanachezea nyumbani mbele ya mashabiki wao, je ingekuwa ni kwingineko?Hahahaaaaa wala si swaumu hiyo. Bado wana kiwewe cha 7-1.
Kitapoa tu with the passage of time.
Hahahahahahaaaa!
Tatizo hawa watu wamekariri sana! Wanamfanya Neyma kama Mungu! Dogo hayupo ndio kama hivyo! Nnauhakika wachezaji wa brazil wanapsychological disorder na ndio inayowafungisha!
nitakudip kwakweli......
ngoja tuone kipindi cha pili
Samahani kama kawaida yetu, kesho wale timu Argentina tujuane mapema tutege makombola yetu ya kuviangusha vijukuu ya ADOLF HITLER...!!
Mkataba wake nasikia unaishia kesho ndo maana anajifanya hataki kujiuzulu
Bado naamini Argentina ni wazuri. Leo Uholanzi Robben et al wanapenya watakavyo. Hili halikuruhusiwa siku ile!
Mimi kwa Afrika nilisha give up zamani mno. Wala huwa sijihangaishi tena.
kuna mchezaji bora wa kundi la youngs miaka 21 na below,nomenees ni Paulo Pogba,Raphael varane na Memphis Depaymchezaji bora wa mashindano anakuwa mmoja tu.
kuna mchezaji bora wa kundi la youngs miaka 21 na below,nomenees ni paulo pogba,raphael varane na memphis depay
Glad you admit this...it is exactly the point I was trying make. Even the Brazilians themselves have come to terms with the fact that they are not that invincible!
Safi sana! Argentina juu, juu, juu kabisa!