Dah unajua kelele zote zile mchana nilidhani game saa 4 sasa naona macho hayafunguki yenyewe,kila nikiyafungua aah wapi!halafu mashabiki wa England wachache leo hamna masongi ah!nimechemsha wakuu,mtaniambia Italia kashinda ngapi ila kwa mwendo huu,kazi tunayo hata costa rica watatusumbua sana.poor display.sikutegemea,labda second half!ngoja nilale