Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
wakoloni wanaongeza cha nne leo...
Ayaaaaaa weeeeee basi tena!
Siangalii tena hii gemu
Leo naahidi mke wangu ,Argentina akishindwa njoo umchukue nimeshamchoka
Labda ukiongea nae wewe private hukoooo atakuelewa!
Siku ya mwisho ndiyo yaanza matusi jamani?
Mmmmh....!!Leo naahidi mke wangu ,Argentina akishindwa njoo umchukue nimeshamchoka
Karibuni teamargentina wote. Waiter pitisha vinywaji bili juu yangu.
Halafu sijakula nenda ukanipikie nina njaa
naona we are on the same track sasa
Mkeo nipatie ila asiwe nyani kama wewe.Mnapigwa 3 kwa 1Naahidi Mke leo(wangu) Argentina asiposhinda
Leo naahidi mke tusiposhinda waje wamchukue nimeshamchoka
#TeamGermany piga argentina goal 5
Haya Mkoloni kata mzizi wa fitna, Messi Nesi leo mtamtafuta kwa tochi