World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Umeona, refa katoa mpira nje kuwa wa kurushwa kwa Argentina... Sijawahi kuiona hii.
 
hahahhaha naona leo watu wana Bet ,eti mtaanza kusilikiza taarabu!Mpira haujachangamka bado
 
Hivi kwa nini Messi akishika mpira Mtangazaji anabadili sauti yaani anakazia Messi kwa msisitizo
 
High line defence ya ujerumani inaweza kuwa exposed zaidi leo, Messi kidogo awaweke katika hatari pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…