mmh ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote.
nitakua nae tu..... I will do anything for him.....
nimeingia TBC bahati mbaya,namkuta mchambuzi albino anamfokea messi,ina maana ye anajua kuliko kocha
Messi anarudi sasa na nguvu mpya
Bby mbona unalalamika sana.....wacha mfungweee