What the goal!
Kati kati ya dimba Gerald KAMFUNIKA Pirlo so far!Gerald kahamisha mipira mingi toka B kwenda D na Pirlo hajafanya hivyo bado
Shangaa na wewe!
Yaani wako nyuma mno.
Angrikana & catholic
we dont want a 90mins game to last 4hrs!
Wangekutana England na Netherlands
Dah Balotelli kidogo awauwe waajiri wake wa zamani.
Sijaelewa aliyebebwa kwenye machela ana tatizo gani mbona si mchezaji au pressure imempata?
tungekuwa tunaongelea dazan ya magoli....teh!!
Khaaa angewaliza mda si mrefu
Italy wakiendelea na staili hii watafungwa kama Uruguay, inaelekea hata defending wanataka ku-slow down wakati wanaona tempo ya England ilivyo.