Hii gemu haina zaidi ya goli moja
dalili ni mbaya kwa Argentina
mke mwenza I missed u jamani
hahahahaha,ila kusema ukweli wamezidiwa!Mjermani akishinda, nakojoa TOPAZ...
Argentina anasumbua mahakama tu lkn kifungo kipo pala pale
mkuu mambo magumu...ila bado nina imani na germany
mkoloni kasau bunduki
analazimisha mesi akafunge,na ku-dribo,wakati kocha hajampa hilo jukumu