hahahahaha,ila kusema ukweli wamezidiwa!
Don't dare to sit near the clueless fans wanakera kinoma aaaarghhhh
nimeingia TBC bahati mbaya,namkuta mchambuzi albino anamfokea messi,ina maana ye anajua kuliko kocha
he he he go mkoloni
Mjermani akishinda, nakojoa TOPAZ...
That is a clear penalty
Apa leo hakuna mkononi wala kichwani! Leo nikuwachapa wajerumani kwa kwenda mbele!