go German gooo
Mkoloni wa 7-1 yuko wapi leo?
The guys causes lots of troubles, they're such a disturbance... nko nae m1 hapa.
Huyu dogo Andre schurle kiwango chake naona kinapanda sana
go German gooo
where to go?
Pika kapanic
Nawavumilia kinoma wasiombe timu ninayoshangilia ifungwe maana naweza piga mtu ngumi
Mimi leo kwa mara ya kwanza nitaangalia pelnaties bila stress na kwa makini,siku ya uholanzi na Aregentina sikuangalia pelnatiesSio kulala tu penati ni maradhi ya moyo