Full time Germany 0-0 Argentina
teh,teh,naona unataka nikukojoze this nyt,subiri game iishe
gonjwa inasumbua yeye..
Fainali inaboa hii
mwambie what it means huyo shosti mwenzako
Hiv kale kachezaji kafuupi nikatim gani
KGB and STASI
Saba leo zimegoma?
Ujeruman waliwaonea bure brazil,leo wamekutana na vidume
yaani hapa tulipokaa mamluki wako Argentina wakienda tu goal hao wanaamka na kuishia kusema haaaaa.... wakifunga sasa sijui